• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Viwanda

VIWANDA 

Idadi ya Viwanda vilivyopo kaatika Mkoa

Kwa mujibu wa orodha ya viwanda iliyopokelewa kutoka katika Halmashauri zote ,Mkoa una jumla ya viwanda 901,(viwanda vidogo sana 809, viwanda vidogo 85, viwanda vya kati 3 na viwanda vikubwa 4.)

Utekelezaji wa kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda Vyetu”.

Katika kutekeleza azma ya Serikali ya awamu ya tano ya kujenga uchumi wa viwanda unaojielekeza katika kufikia  Malengo ya Dira ya Maendeleo ya  taifa  kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025,  Serikali ilizindua Kampeni ya “ Mkoa Wetu, Viwanda Vyetu” mwezi Novemba 2017. Kampeni hii inalenga ujenzi wa  viwanda vikubwa vya kati na vidogo ili kufikia lengo la kila Mkoa  kujenga viwanda visivyopungua 100  ifikapo Desemba ,2018.Mkoa umeanza utekelezaji wa kampeni hiyo ambapo hadi kufikia june 30, 2018 jumla ya viwanda  vipya vilivyojengwa ni  54. Takwimu za viwanda hivyo kwa kila  Halmashauri ni kama ifuatavyo;

Idadi ya viwanda vilivyoanzishwa.

Halmashauri
Lengo
Idadi Ya Viwanda Vipya Vilivyojengwa Kufikia Juni 30,2018
Vikubwa
Kati
Vidogo
Viwanda Vidogo Sana
Sumbawanga MC

25

0

1

13

0

Sumbawanga DC

25

0

0

0

19

Nkasi DC

25

1

0

11

0

Kalambo DC

25

0

0

11

0

Jumla

100

1

1

35

19

Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Viwanda

Halmashauri zimetenga Jumla ya hekta 1154.48  kwa ajili ya uwekezaji wa Viwanda  katika maeneo mbalimbali. Changamoto  kubwa katika maeneo haya ni kutokuwepo kwa Miundo mbinu kama Maji, umeme na barabara  pia kutolipwa kwa fidia kwa baadhi wadau  waliokuwa wakiyamiliki maeneo hayo hapo awali.

Timu Ya Kuendeleza Viwanda Katika Mkoa

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa aliunda timu maalum itakayofanya kazi ya kuratibu maendeleo ya viwanda katika Mkoa  inayojumuisha wadau kutoka  sekta ya Umma  na sekta Binafsi ili kufanya jitihada za pamoja  katika kutekeleza azma ya ujenzi wa viwanda  katika Mkoa wetu  kwa ufanisi kwa kufanya mambo yafuatayo;

  • Kuanisha na kuhakiki maeneo ya uwekezaji wa viwanda yaliyotengwa katika kila Halmashauri.
  • Kuainisha mahitaji ya miundo mbinu kama umeme, maji, barabara na uwanja wa ndege katika maeneo yaliyotengwa na namna ya kuweka mazingira wezeshi ili uwekezaji uweze kufanyika.
  • Kutangaza vivutio vilivyopo na maeneo ya uwekezaji yaliyopo katika Mkoa wetu ili kupata wawekezaji watakaojenga viwanda na kukuza uchumi wa Mkoa na taifa kwa ujumla.
  • Kuwatambua wawekezaji wa ndani na wa nje waliowekeza katika Mkoa wetu.
  • Kuwaunganisha wawekezaji binafsi na taasisi za kifedha  zinazotoa mikopo nafuu ili kutatua  changamoto za rasilimali fedha kwa wawekezaji wenye nia ya kuwekeza.

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2019 - Rukwa October 17, 2019
  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021, Mkoa wa Rukwa December 18, 2020
  • Fomu za Kujiunga na Shule mbalimbali za Sekondari (JOINING INSTRUCTION) kwa Mwaka 2021 mkoani Rukwa. December 20, 2020
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waliokula Shilingi Milioni 932 za Halmashauri kufikishwa mahakamani.

    February 24, 2021
  • Wajumbe RCC waiomba Serikali kuhuisha Mradi wa VETA Sumbawanga ili kuwakomboa Wananchi.

    February 23, 2021
  • Shughuli za kibinadamu bado ni Changamoto katika uharibifu wa madaraja na barabara

    February 22, 2021
  • SITA WAFA KWA MATUKIO TOFAUTI IKIWEMO RADI

    February 18, 2021
  • Angalia Zote

Video

Mwaka 2020 kuwa mwaka wa kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili Mkoani Rukwa
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0756941328

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa