Seksheni hii inajumuisha na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, lengo la seksheni hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya seksheni/sehemu ya Afya na Ustawi wa Jamii:
Sekesheni hii inaongozwa Katibu Tawala Msaidizi ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa
Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga
Simu: 025 280 2137
Simu: 0756941328
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa