Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wananchi na viongozi mbali,mbali katika jamii kuhakikisha wanafika kujionea eneo la maporomoko ya kalambo na maajabu yake ili kulitangaza ulimwenguni.
Kaimu Meneja wa Wakala wa Misitu Wilaya ya Kalambo aelezea maajabu yanayopatikana katika maporomoko ya Kalambo.
Maporomoko ya kalambo yameanza kuwa na mvuto baada ya kujengwa kwa ngazi zinazoshuka hadi kufikia eneo ambalo maji yanaangukia.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa