• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Maji

Kusimamia na kutoa huduma kwenye halmashauri husika kuhusu maendeleo ya sekta ya maji

Majukumu ya Seksheni ya Huduma za Maji

  • Kutathimini, kuratibu na kushauri juu ya utekelezaji wa sera za sekta ya maji katika Mkoa
  • Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye sekta ya Maji
  • Kuwasiliana au kuwa daraja kuunganisha baina ya Mamlaka zinazohusika kwenye Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya masuala yanayohusu sekta ya Maji
  • Kuendeleza na kuboresha hali ya huduma za maji na usafi wa mazingira katika Mkoa
  • Kuwezesha, kuratibu, Kusimamia, na kuthibiti sekta binafsi zinazotoa huduma za Maji katika Mkoa.
  • Kuwezesha na kuratibu timu ya huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika Mkoa
  • Kuzisaidia na Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa kutambua na kuimarisha vyombo huru vya watumiaji maji
  • Kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuandaa Miongozo ya utekelezaji na ukarabati wa miradi ya Maji

Hadi kufikia mwezi Desemba, 2016 asilimia 50.2 ya wakazi wa Mkoa wa Rukwa wanapata huduma ya maji safi na salama kupitia miradi 230 iliyopo ambapo  miradi 26 kati ya hiyo imejengwa chini ya Programu ya maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP) na miradi 204 ilijengwa na serikali kupitia programu mbalimbali ikiwemo Mpango kabambe wa maji, NORAD, RUDEP, TASAF na Quickwins. Hali ya upatikanaji wa maji ni kama inavyoonekana kwenye Jedwali Na. 1.

Jedwali Na. 1: Hali ya upatikanaji wa huduma ya maji 

Na.
Halmashauri

Asilimia ya watu wanaopata huduma ya Maji


SUWASA

76


Sumbawanga MC

50


Sumbawanga DC

46


Nkasi DC

46


NAUWASA

16


Kalambo DC

55

Wastani

50.2

 

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2019 - Rukwa October 17, 2019
  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021, Mkoa wa Rukwa December 18, 2020
  • Fomu za Kujiunga na Shule mbalimbali za Sekondari (JOINING INSTRUCTION) kwa Mwaka 2021 mkoani Rukwa. December 20, 2020
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wananchi wasisitizwa kuitumia wiki ya sheria kama fursa ya mafunzo ya bure ya sheria.

    January 24, 2021
  • MABARAZA YA ARDHI YATAJWA KUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    January 23, 2021
  • Kamati ya Amani Rukwa yamuomba RC kufikisha salamu zao kwa Rais Magufuli.

    January 22, 2021
  • Kijiji kitakachokaribisha “Lambalamba” Kuwekwa chini ya Ulinzi

    January 21, 2021
  • Angalia Zote

Video

Mwaka 2020 kuwa mwaka wa kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili Mkoani Rukwa
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0756941328

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa