• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Ushirika

USHIRIKA

Lengo kuu la vyama vya ushirika ni kuunda vyombo vya kiuchumi ambavyo vinaanzishwa na kusimamiwa na wanachama wenyewe.

Huduma zinazotolewa na vyama vya ushirika kwa wanachama ni:-

  • Kutoa elimu ya wanachama kujiwekea akiba kutokana na shughuli zao za uzalishaji
  • Kutoa mikopo kwa wanachama ya kijamii na kujiendeleza yenye masharti nafuu.
  • Kutafuta pembejeo na masoko ya bidhaa za wanachama.
  • Kusaidia wanachama katika sekta mbali mbali za kiuchumi ikiwamo Uvuvi, ufugaji , ufundi n.k.

Mkoa wa Rukwa una jumla ya Vyama vya ushirika  187  kati ya hivyo 118  ni Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS), Vyama vya  mazao (AMCOS) hamsini na nne  (54), Vyama vya Uvuvi  vinne (4) naVyama vya wafugaji sita ngombe (6).  Chama cha wafugaji nyuki kimoja (1) vyama vya wauza bidhaa/huduma vinne (4)  na chama cha ufundi kimoja (1)

Jumla ya wanachama ni  18,908   (wanaume 12,041 wanawake 6,727 vikundi 138 na taasisi 2). Jumla ya thamani ya  hisa za wanachama ni Shilingi  893,824,000.00 Akiba ni  Shilingi  2,262,538,000.00 na Amana zenye thamani ya Shilingi 3,643,000.00 Jumla ya mikopo yenye thamani ya Shilingi 11,262,268,000 imetolewa  na kiasi cha Shilingi 9,330,198,000.00 kimerejeshwa sawa na asilimia 82 ya fedha zilizokopeshwa.

MCHAKATO WA UANZISHAJI WA CHAMA KIKUU.

Kwa Mujibu wa sharia ya vyama vya Ushirika Na. 6  ya mwaka 2013kifungu cha 29 (2) kinaelekeza ili chama kikuu kiweze kuandikishwa kinahitajika kuwa na wanachama wasiopungua ishirini ambao ni vyama vya msingi.

Hadi kufikia Juni 2018 Mkoa una vyama 54 na vyama hivi vimeandikishwa kati ya 2014 na 2018 hivyo bado ni vichanga na vinajengewa uwezo wa kiuchumi.

Katika kuanzisha chama kikuu jambo kubwa linaloangaliwa  ni uwezo wa kiuchumi wa vyama wanachama .Azimio la kuanzisha chama kikuu cha wakulima limetolewa katika Jukwaa la vyama vya Ushirika lililofanyika  tarehe 1 Juni 2018 , Kazi ya kuhamasisha vyama vya wakulima kuunda chama kikuu imeanza.

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa