• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Uvuvi

SEKTA YA UVUVI

Sekta ya uvuvi  ina mchango mkubwa kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa katika kuwapatia  lishe bora, ajira na kipato kwa mwananchi mmoja mmoja na  hivyo kuchangia kuondoa umasikini na kukuza  pato la Taifa.

Shughuli za uvuvi katika Mkoa hufanyika katika Maziwa mawili makubwa  ambayo  ni  Ziwa Tanganyika na Ziwa Rukwa  na  kwa kiasi kidogo katika mabwawa mawili ya asili ambayo ni  Kwela (Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga) na Sundu (Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo).  Kadhalika shughuli  hizi  za Uvuvi  hufanyika  katika mito na mabwawa yanayochimbwa  na  wananchi katika  maeneo  mbalimbali ya Mkoa.

Katika kipindi cha mwaka 2017/2018  jumla ya tani  2,008 za  samaki zenye thamani ya shilingi  bilioni 9.8   zilivunwa na kusafirishwa ndani na nje ya Mkoa wetu. Fedha hizi ni mapato ya wavuvi wetu kwenye masoko mbalimbali.

Mikakati ya kuendeleza sekta ya Uvuvi

Ili kukabiliana na Changamoto za sekta ya Uvuvi Mkoa unaendelea kushauri na kuhimiza Halmashauri kutekeleza mikakati ifuatayo:

  • Kuajiri wataalamu wa Uvuvi, angalau kuwa na Maafisa ugani  kwa kila Kata yenye mwalo.
  • Kutekeleze agizo la OR-TAMISEMI la kutenga  fedha 5% ya mapato yatokanayo na Uvuvi kwa ajili kuwezesha kudhibiti Uvuvi haramu katika Maeneo yao na kuendelea  kutoa elimu ya uvuvi endelevu
  •  Kuwezesha mazingira bora ya uundwaji wa BMUs na usajili wake na kufanya BMUs zilizopo kufanya kazi kikamilifu kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Uvuvi.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kuweka  miundombinu ya choo cha umma katika soko la samaki la Korongwe ili soko hilo liweze kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
  • Kuendelea kuvutia wawekezaji  ili wajenge viwanda vya kuchakata mazao  ya uvuvi ili kuyaongezea thamani,
  • Kuendeleza ufugaji wa samaki katika Mabwawa na katika vizimba ili kuongeza mazao ya Uvuvi na kupunguza utegemezi mkubwa katika maziwa yetu.
  • Kuhamasisha sekta binafsi kuwekeza katika maduka na zana halali, bora na za kisasa za uvuvi

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa