• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Huduma za Uvuvi

SEKTA YA UVUVI

Hali ya uvuvi Mkoani

Mkoa una idadi ya wananchi 14,094 wanaojishughulisha moja kwa moja na uvuvi na wananchi 1,021 wanaojishughulisha na uchakataji  wa mazao ya uvuvi. Wavuvi wanamiliki  mitumbwi ya uvuvi  2,820.  Katika Mkoa,  shughuli za uvuvi zinafanyika kwa kiasi kikubwa  katika maziwa  mawili makubwa  ambayo  ni  Ziwa Tanganyika na Rukwa  na  kwa kiasi kidogo katika maziwa madogo mawili ya asili ambayo ni  Kwela na Sundu. Halikadhalika Uvuvi  hufanyika  katika mito 87 na mabwawa 326  yaliyochimbwa  na  wananchi katika  maeneo  mbalimbali ya Mkoa.

Katika kipindi cha mwaka 2018/2019  jumla  ya  tani  2,976.75  zenye thamani ya shilingi bilioni 12.9 zilivunwa na kusafirishwa ndani  na  nje ya Mkoa. Fedha hizi ni mapato  yaliyotokana  na uvuvi wa samaki   katika maeneo mbalimbali ya Mkoa.

Ujenzi wa soko la samaki la Kasanga

Ujenzi wa soko la samaki la Kasanga umegharamiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kwa kushirikiana na Muungano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA), Jumuia ya Ulaya (EU), Shirika la Usimamizi wa miradi ya Jumuia ya Ulaya (GRET), Jamii ya Kasanga,  MIVARF na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Wadau wote hawa wamekwishachangia jumla ya Shilingi 1,408,856,527/=  katika ujenzi wa  miundo mbinu ya soko hili. Katika kipindi cha mwaka 2018/2019 Mkoa kwa kushirikiana na MIVARF umeweka vyumba baridi( cold rooms) na mtambo wa kuzalisha barafu (ice plant).Vifaa hivi vitawawezesha wavuvi wetu kuhifadhi mazao yao ya uvuvi kwa muda mrefu bila kuharibika huku wakisubiri soko la uhakika.

Mwalo wa samaki wa Kirando

Ujenzi wa Mwalo wa Kirando umefadhiliwa kwa pamoja na Programu endelevu ya bonde la Ziwa Tanganyika (PRODAP) na MIVARF ambapo PRODAP imechangia  jumla ya Shilingi 648,385,505/= na MIVARF imechangia shilingi 357,807,500/=. Mwalo unaendelea kutoa huduma kwa Wavuvi na Wafanyabiashara wa Samaki na dagaa. 

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa