DIRA
Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa ina lengo la kusaidia kutoa ushauri bora na kuratibu ushiriki katika kufikisha huduma bora
za kijamii kwa maendeleo ya uchumi pamoja na huduma za kiutawala kwa wadau na wateja wake hadi kufikia mwaka 2025,"
DHIMA
"Kutangaza ufanisni wa utawala wa Mkoa, Kusaidia na Kusimamia maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii katika Mkoa kupitia
ufanisi na ubora wa ushauri unaotolewa kwa wakati kati ya Serikali kuu na Mamlaka za Serikali za Mtaa pamoja na wadau wengine,"
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0739862632
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa