Mkoa wa Rukwa utazindua kampeni ya upandaji miti kwa ajili ya kuhamasisha jamii kutunza na kuhifadhi mazingira tarehe 08 Februari, 2023 .
Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanywa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga mjini Sumbawanga ambapo wananchi wanakaribishwa kushiriki zoezi hilo kwa kupanda miti katika makazi na maeneo yao.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0739862632
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa