• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

PS3+ Wakutanisha Wadau

imewekwa Tar: December 6th, 2022

 

SERIKALI KUIMARISHA MAHUSIANO NA SEKTA BINAFSI  RUKWA

Na. OMM Rukwa

Serikali imesema itaendelea kuhakikisha mahusiano kati ya sekta ya umma na binafsi yanaimarika ili kukuza uzalishaji ajira na uchumi  kupitia fursa mbalimbali.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta leo (Desemba 06,2022) wakati akifungua kikao cha majadiliano kati ya sekta ya umma na binafsi Manispaa ya Sumbawanga .

Mchatta alisema ukuaji uchumi unaongozwa na sekta binafsi katika kuzalisha ajira na fursa za kiuchumi endelevu hususan kwa vijana na kuwezesha serikali kupata mapato kupitia kodi na ushuru wa bidhaa .

“Serikali inaweka mazingira wezeshi kwa sekta ya binafsi katika ukuaji wa biashara kubwa ,ndogo na makampuni.  Kikao cha hiki kinalenga kujadili fursa,mafanikio na changamoto zinazoikumba sekta binafsi” alisema Mchatta.

Kwa upande wake Mshauri wa Sekta Binafsi toka Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma Awamu ya Pili (PS3) Moses Kabogo iliyoratibu kikao hicho alisema lengo ni kujenga mahusiano mazuri kati ya sekta ya umma na binafsi.

Kabogo aliongeza kusema mradi huo unajikita katika kuhakikisha jamii iliyoko pembezoni inafikiwa kiurahisi kupitia sekta bianfsi ambapo changamoto zinatatuliwa kupitia majadiliano.

Naye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mkoa wa Rukwa Willington Kiziba alitoa wito kwa serikali kutaza upya mifumo yake utoaji bima ya afya ili kuwezesha makundi yote kwenye jamii kufikiwa na huduma kwa gharama nafuu.

Mwisho.

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa