• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Ruwasa

imewekwa Tar: January 3rd, 2023

RUWASA SUMBAWANGA YAFIKISHA HUDUMA NGAZI YA JAMII

Na.OMM Rukwa

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Sumbawanga imefanikiwa kuunganisha vyombo vya watoa huduma za maji ngazi za jamii (CBWSO) toka 46 hadi 11 hatua iliyosaidia kufikisha huduma za maji karibu na wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Sebastian Waryuba amesema hayo leo (Januari 02,2023) mjini Sumbawanga wakati akifungua mkyano wa nusu mwaka wa vyombo vya watoa huduma za maji ngazi ya jamii ambapo ameseamutaratibu  huo umesaidia jamii.

“RUWASA Sumbawanga imepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa vyombo vya watumia maji  baada kuunganisha vyombo 46 hadi kufikia 11 vya sasa hatua iliyowezesha vyombo kuwa na uwezo wa kutoa bili za maji na wataalam” alisema Waryuba.

Waryuba aliongeza kusema uweo wa vyombo vya watumia maji ngazi ya jamii unatarijiwa kuwa na utendaji wenye tija,ubunifu na weledi ili wananchi wengi zaidi wapate maji karibu na ya uhakika kwani serikali imewekeza fedha nyingi kwenye miradi ya maji.

Katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinalindwa na kuwa endelevu Waryuba alitoa agizo kwa watendaji wa kata zote wilaya ya Sumbawanga kuwaondoa wananchi wote wanaolima ndani ya vyanzo vya maji pamoja .

Kwa upande wake Meneja wa RUWASA Wilaya ya Sumbawanga Mhandisi Jonas Maganga alisema tangu kuanzishwa kwa vyombo vya watumia maji ngazi ya jamii mafanikio ya makushanyo ya fedha yameongezeka kwenye vijiji 24 vya Manispaa  na vijiji 114 vya Sumbawanga vijijini.

Mhandisi Maganga alitaja makusanyo yaliyopatikana kuwa mwaka 2019/20 ( Milioni 12), mwaka 2020/21 (Milioni 129) na mwaka 2021/22 (Milioni 145) hatua inayosaidia vyombo kujiendesha  na kupunguza utegemezi wa  wa serikali.

Mafanikio mengine ni kuongezeka kwa kiwango cha upatikanaji maji toka asilimia 51 mwaka 2019/20 hadi kufikia asilimia 71 mwaka 2022/23 kwa wilaya ya Sumbawanga huku serikali ikiwezsha bajeti ya huduma za maji kufikia shilingi Bilioni 5.1 mwaka 2021/22 toka Bilioni 1.3 mwaka 2019/20  kupitia mradi wa Lipa kwa Matokeo (P4R).

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • JAMII ISHIRIKIANE NA WALIMU KUKUZA TAALUMA

    February 16, 2023
  • Kampeni Upandaji Miti

    February 07, 2023
  • TASAF

    February 05, 2023
  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa