• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu Waonywa

imewekwa Tar: October 18th, 2020

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeonya kuwa msimamizi yeyote atakayesababisha Mahakama itengue matokeo ya uchaguzi, atatakiwa kufidia hasara na gharama za kurudia uchaguzi.

Kamishina wa NEC, Balozi Omari Ramadhani Mapuri pia alisema tume haitasita kumchukulia hatua msimamizi wa uchaguzi, atakayefanya kwa makusudi vitendo vitakavyosababisha uchaguzi kuharibika katika jimbo au kata.

Mapuri alitoa onyo hilo mjini Sumbawanga katika kikao cha NEC na waratibu na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Rukwa, Songwe na Katavi.

Alisema, msimamizi wa uchaguzi ataadhibiwa kwa kuzingatia Kifungu cha 89A cha Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sura ya 292.

"Kwa kuzingatia Sheria hiyo ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, tume haitasita kumchukulia hatua msimamizi wa uchaguzi atakayefanya kwa makusudi vitu vitakavyosababisha uchaguzi kuharibika katika jimbo au kata,” alisema Mapuri na kuongeza.

Msimamizi huyo wa uchaguzi atatakiwa kufidia hasara hiyo kwa mujibu wa Kifungu cha 89 B cha Sheria za Uchaguzi ya Serikali za Mitaa Sura ya 292 alisema.

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Amos Akim aliwakumbusha wasimamizi wa uchaguzi kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa ifikapo Oktoba 21.

“Oktoba 28 mwaka huu ndio siku ya kupiga kura...vituo vinatakiwa kufunguliwa saa moja asubuhi kama inavyoelezwa na tume...watendaji wa vituo waelezwe kuwahi vituoni mapema ili wafanye maandalizi. Baada ya wapigakura kupiga kura zao wanatakiwa kuondoka vituoni,”alisema Akim.

Alisema baada ya kukamilika kwa uboreshaji daftari la kudumu la wapigakura kwa awamu zote mbili, kama ilivyo matakwa ya kisheria, kwa sasa lina wapigakura 29,188,347. Alieleza kuwa kwa nchi nzima kutakuwa na vituo 81,567 vya wapigakura.



Matangazo

  • HOTUBA YA BAJETI YA TAMISEMI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 May 05, 2023
  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAWEKEZAJI KUTOKA ZAMBIA WAVUTIWA NA BANDARI MKOANI RUKWA

    May 28, 2023
  • MRADI WA MAJI WAZINDULIWA KISA

    May 15, 2023
  • ZAHANATI YA MPONA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA YAZINDULIWA

    May 15, 2023
  • UPENDO, MAADILI NA FAMILIA IMARA MUAROBAINI WA UKATILI WA KIJINSIA

    May 15, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa