• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

WITO KWA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATIWA CHANJO

imewekwa Tar: September 21st, 2023

Wito umetolewa kwa wazazi na walezi Mkoani Rukwa kuhakikisha kila mtoto aliye na umri wa chini ya miaka nane anapatiwa chanjo ya Polio ili kumkinga na ugonjwa wa huo.

Wito huo umetolewa na Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo uliofanyika leo Septemba 21, 2023 katika viwanja vya Shule ya Msingi Ndua Manispaa ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Mheshimiwa Makongoro alimwakilisha Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) Waziri wa Afya.


Ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya zote  za Mikoa ya Kagera, Kigoma Katavi Rukwa , Songwe na Mbeya  kupitia Kamati  za  Afya  ya Msingi za Mikoa na Halmashauri (PHC) kusimamia Kampeni hii na kuhakikisha wanamfikia kila mtoto aliyelengwa kupatiwa chanjo  mahali popote alipo.

Amezitaka taasisi za umma na binafsi, viongozi wa dini, asasi za kiraia, wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kushirikiana na Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika kuhakikisha kuwa kampeni hiyo inafanikiwa.

Amewataka pia wananchi kutoa ushirikiano kwa timu za watoa huduma katika maeneo yote ili watoto waliolengwa waweze kupatiwa chanjo.

Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere ameyashukuru  mashirika ya Kimataifa likiwemo Shirika la Afya Duniani (WHO), UNICEF na Save the Children kwa Ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Serikali ya Tanzania katika kutokomeza Polio

Jumla ya watoto  391,883 wanatarajiwa kupatiwa chanjo Mkoani Rukwa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI October 24, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA - MAPOKEZI YA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 3.8 KWA AJILI YA SEKTA YA AFYA October 05, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI- RUKWA September 27, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 13, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • UMOJA NA MSHIKAMANO SILAHA ZA MAFANIKIO MIAKA 62 YA UHURU

    December 09, 2023
  • MAKONGORO AWATAKA WADAU KUILIPA TEMESA KWA WAKATI

    November 21, 2023
  • MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA; WANAFUNZI RUKWA KUGAWIWA VYANDARUA

    October 19, 2023
  • MAKONGORO ATAKA MIRADI IKAMILIKE KABLA YA OKTOBA 30, 2023.

    October 18, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0735019734

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa