• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

ZAHANATI YA MPONA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA YAZINDULIWA

imewekwa Tar: May 15th, 2023


Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Cuthbert Sendiga amezindua Zahanati ya Mpona iliyopo Kata ya Kipeta, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi , amewashukuru wananchi kwa kujitolea nguvu kazi  katika ujenzi huo  iliyosaidia kwa kiasi kikubwa Zahanati hiyo kukamilika.

Hafla ya uzinduzi wa Zahanati hiyo imefanyika leo tarehe 15 Mei 2023.  Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amewashukuru na kuwapongeza wananchi kwa kuanzisha ujenzi wa Zahanati hiyo iliyokamilishwa kwa kiasi cha shilingi milioni tisini. Aidha ametumia fursa hiyo kuishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa kutoa fedha za ukamilishaji .

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Bi Lightness Msemo kwa usimamizi mzuri wa mradi huo na kuona umuhimu wa kutenga bajeti kwa ajili ya ukamilishaji.  Zahanati ya Mpona imepunguza umbali, ambapo awali wananchi walilazimika kutembea umbali wa kilometa kumi na mbili kufuata huduma.

Amewataka wahudumu wa afya katika zahanati hiyo kuhakikisha kuwa wanatoa huduma bora kwa wananchi. Katika hotuba yake Mheshimiwa Sendiga ameitaka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wanatumia kisima kilichochimbwa na Halmashauri ya Wilaya kuweka kituo cha kuchotea maji (DP) ili kuwasidia wananchi wa Kijiji cha Mpona kupata maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 13, 2023
  • HOTUBA YA BAJETI YA TAMISEMI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 May 05, 2023
  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WITO KWA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATIWA CHANJO

    September 21, 2023
  • WITO KWA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATIWA CHANJO

    September 21, 2023
  • WAAGIZWA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA CHANJO POLIO

    September 15, 2023
  • HALI YA USALAMA KABWE NI SHWARI, KAZI IENDELEE

    September 12, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0735019734

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa