imewekwa Tar: August 14th, 2018
Serikali imesema itajenga majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Sumbawanga ili kukihamisha kutoka kwenye majengo ya Kanisa Katoliki ambayo yamekuwa yakitumika kwa muda.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
imewekwa Tar: August 9th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa h. Joachim Wangabo amewataka viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi mbalimbali pamoja na wadau wa lishe mkoani humo kuonyesha bayana michango wao katika kukabiliana na ta...
imewekwa Tar: August 2nd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amewaonya kinamama wenye tabia ya kuwanywesha watoto wachanga pombe pindi waliapo kwa lengo la kuwanyamazisha walale ili wao waendelee na shughuli nyiun...