imewekwa Tar: May 3rd, 2020
Mkoa wa Rukwa leo tarehe 2.5.2020 umeungana na baadhi ya mikoa mingine katika kutekeleza awamu ya pili ya zoezi la kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura ambapo awamu hii utafanyika katika ngazi ya...
imewekwa Tar: May 2nd, 2020
Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mh. Daudi Sichone ametangaza kuwafukuza kazi pamoja na kuwapeleka mahakamani watendaji wa vijiji wanaokusanya mapato na kutowas...
imewekwa Tar: April 22nd, 2020
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wanahabari Mkoani humo kuhakikisha wanajikinga kwa namna yoyote ile ikiwemo kufuata maelekezo ya wataalamu kwa kuvaa barakoa pamoja na kunawa mikono...