• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Videos

  • Ukaguzi Madarasa Manispaa Sumbawanga

    December 5th, 2022

    RC Sendiga Aridhishwa na miradi ya Ujenzi wa Madarasa Manispaa ya Sumbawanga

  • RC Mkirikiti akabidhiwa Ofisi Rukwa

    May 30th, 2021

    RC Mkirikiti akabidhiwa Ofisi Rukwa

  • Mwaka 2020 kuwa mwaka wa kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili Mkoani Rukwa

    January 9th, 2020

    Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wanarukwa kutumia sherehe za siku ya kuzaliwa Yesu kristo kutafakari nafasi za watoto katika familia na kuongeza kuwa serikali ya imejipaga kuhakikisha kuwa mwaka 2020 unakuwa ni mwaka maalum wa Mtoto katika mkoa.

    Amesema kuwa kwa muda mrefu wanarukwa wamekuwa wanashindwa kuthamini maendeleo ya mtoto kiafya na kielimu kwani watoto wamekuwa wakienda shule bila ya kula chochote nyumbani na hata akifika shuleni ambapo anakaa zaidi ya masaa kumi hapewi chakula chochote hali inayopelekea watoto hao kushindwa kuzingatia masomo.

    “Tunawatesa watoto wetu kwanini, Muasham Baba Askofu ningependa tutumie nafasi hii za Krismai na Mwaka mpya kutafakari nafasi ya mtoto ndani ya familia na maendeleo ya taifa letu, tuwape haki zao watoto wetu, tuwape chakula, tuache manyanyaso ya kuwatukana na kuwapiga ovyo, kuwachoma moto, kuwabaka, hivfi vitendo vyote vinamchukiza Mwenyezi Mungu, na mahala pengine mabinti zetu wanawaua hawa watoto wanatoa mimba na hata akizaa anamtupa, huu ukatili wa namna hii Mwenyezi mungu haupendi,” Alisema kwa masikitiko.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • Next →

Matangazo

  • Kodi kwa Maendeleo September 15, 2021
  • Kikao cha Road Board Mkoani Rukwa October 08, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 24, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha SITA 2018 July 16, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Waziri Mkuu Kufanya Ziara Mkoa wa Rukwa

    December 12, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

  • Bunge
  • Takwimu Huria
  • Ikulu
  • Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa