• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Videos

  • Kisa Kamili cha Mama Mjamzito Kujijeruhi tumboni chafafanuliwa na RMO Rukwa

    June 4th, 2019

    Kuanzia Tarehe 30 Mei, 2019 kuna taarifa zilizosambaa na kutolewa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu mama mjamzito anayesemekana kujijeruhi maeneo ya tumboni na kupelekea kutoa mtoto tumboni, tukio lililotokea kata ya kirando halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu anaelezea kisa kamili

  • RC Wangabo aeleza kwa masikitiko vifo vya watoto wawili

    March 26th, 2019

    Mkuu wa Mkoa wa rukwa Mh. Joachim Wangabo ameeleza tukio la vifo vya watoto wawili kwa masikitoko makubwa, tukio lililohusishwa na imani za kishirikina katika Mkoa huo na kutoa pole kwa wafiwa wa mtaa wa Vuta, Kata ya Kizwite Sumbawanga Mjini.

  • RC Wangabo azihamasishaTaasisi na wananchi kufika Msitu wa mbizi kuchukua miti.

    January 18th, 2019

    Katika kuelekea siku ya upandaji miti kimkoa ambayo hufanyika kila tarehe 19 ya mwezi wa kwanza kila mwaka Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wananchi pamoja na taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali kufika katika ofisi za wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) ili kuweza kupatiwa miche ya miti na kuweza kuipanda katika maeneo yao.

    Amesema kuwa TFS wametenga miche 100,000 kwaajili ya kutoa bure kwa taasisi pamoja na wananchi ambao watachangia kiasi cha shilingi 150 kwa mti mmoja na kuongeza kuwa kuchukua miti hiyo na kuipanda kutaiwezesha taasisi ama mwananchi kuwekeza katika miti, kupendezesha eneo lake hali itakayopelekea kupendezesha mandhari ya mkoa kwa ujumla.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • Next →

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa la 7 mwaka 2018 Mkoani Rukwa. October 23, 2018
  • Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza Mkoa wa Rukwa 2018 January 05, 2018
  • WATAHINIWA WALIOFAULU KWA NAFASI YA SHULE ZA KUTWA MWAKA 2019 MKOA WA RUKWA December 17, 2018
  • Tahadhari juu ya Ugonjwa wa Corona kwa Mkoa wa Rukwa April 20, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • PS3+ Wakutanisha Wadau

    December 06, 2022
  • Ukaguzi Madarasa Manispaa

    December 03, 2022
  • Waandishi Habari wapatiwa Mafunzo juu ya Polio

    November 30, 2022
  • Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani

    November 30, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa