• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Huduma za Maji

Hali ya huduma ya maji katika Mkoa wa Rukwa kwa mwaka 2019

Hadi kufikia mwezi Agosti, 2019 asilimia 55.9 ya wakazi wa Mkoa wetu wanapata huduma ya maji safi na salama. Maji haya yanapatikana kutokana na programu mbali mbali ikiwemo NORAD, RUDEP, TASAF, Quickwins na WSDP (Water Sector Development Programu). Programu ya WSDP ndiyo ambayo inaendelea na utekelezaji wa miradi ya maji kwa sasa.

Hali ya upatikanaji wa huduma ya maji vijijini katika kila Wilaya

Na

Halmashauri

Idadi ya Watu

Idadi ya Watu wanaopata huduma ya maji.

Idadi ya Vituo vya Kuchotea Maji/Wateja

Asilimia ya upatikanaji wa huduma ya Maji

1

Sumbawanga MC (Mjini)

136,414

106,400

8,871

78

2

Sumbawanga MC (Vijijini)

107,573

63,607

307

59

3

Sumbawanga DC

305,846

168,358

717

55

4

Nkasi DC

292,163

148,895

934

51

5

Namanyere

38,143

7,630

246

20

6

Kalambo DC

254,554

139,612

526

55

 JUMLA

 1,134,693 

 634,502 

11,601

55.9

 

Katika kuhakikisha huduma ya maji inaongezeka, Serikali kupitia Wizara ya Maji imetenga kiasi cha shilingi 5,686,194,000/= kwa mwaka 2018/2019 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa miradi ya maji na kampeni ya usafi wa mazingira.

Mpango wa Kuongeza Upatikanaji wa Huduma ya Maji Vijijini

Mkoa una jumla ya miradi 19 yenye thamani ya shilingi 22,152,959,582.86 ambayo inatekelezwa kwenye vijiji 38 kupitia Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira. Ili kuhakikisha miradi ya maji inakuwa endelevu, uundwaji na usajili wa vyombo vya watumia maji umefanyika katika baadhi ya miradi iliyokamilika na uundwaji unaendelea katika baadhi ya miradi iliyokamilika na inayoendelea na ujenzi. Hadi Agosti, 2019 Mkoa una jumla ya vyombo vya watumia maji (COWSOs) 47, vinavyohudumia vijiji 60, ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria Na. 12 ya mwaka 2009. Mahitaji ya vyombo vya watumia maji (COWSOs) ni 57.

Mpango wa Kuongeza Upatikanaji wa Huduma ya Maji Mijini

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kupitia Mamlaka ya maji (SUWASA) imetekeleza mradi wa maji ujulikanao kama Mradi wa muda wa kati wa kusambaza maji na usafi wa mazingira. Mradi umetekelezwa kwa fedha za EU na Serikali ya Ujerumani kupitia KfW ambapo umegharimu Euro 14,593,444.68. Ujenzi wa mradi ulianza tarehe 18/03/2013 na umekamilika mwezi Desemba, 2017 na unatoa huduma kwa wananchi. Baada ya mradi kukamilika na kuanza kutumika imepelekea maeneo ya kutoa huduma (Service coverage) kwenye eneo lenye mtandao kuongezeka kutoka asilimia 51% kabla ya mradi hadi 78% kwa sasa

Mji Mdogo wa Namanyere

Katika Mji wa Namanyere mradi uliotekelezwa ni wa upanuzi wa Bwawa la Mfili ambalo ni chanzo kikuu cha maji. Mradi huu umegharimu kiasi cha shilingi 1,011,217,230 kwa mchanganuo ufuatao:-

  • Mkandarasi wa ujenzi shilingi 919,279,300
  • Mtaalamu Mshauri shilingi 91,937,930

Baada ya kukamilika kwa upanuzi wa bwawa la Mfili ujazo wa maji umeongezeka kutoka mita za ujazo 1500 za awali hadi mita za ujazo 248,067.

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa